Mradi wa Pambano Kuu 2.0

Jiunge na usambazaji wa mamilioni ya nakala mwaka wa 2023 na 2024 katika kujiandaa kwa kurudi kwa Yesu.

Cover-Image_SW
iqL1705928575645

Ellen G. White

Mwanzilishi Mwenza wa Kanisa la Waadventista Wasabato

Nina hamu sana ya kuona kusambazwa kwa wingi kwa kitabu hiki kuliko kwa kitabu kingine chochote ... kwa kuwa Pambano Kuu, katika ujumbe wa mwisho wa onyo kwa ulimwengu umetolewa kwa uwazi zaidi kuliko katika vitabu vyangu vingine vyovyote.

27.6k

Vipakuaji

122

Lugha

pTi1706000110755

Ted N. C. Wilson

Rais, Kanisa la Waadventista Wasabato

Ted N. C. Wilson

Rais, Kanisa la Waadventista Wasabato

Jinsi ya Kushiriki

Hatua

Wasilisha Mradi kwa Bodi ya Kanisa

Hatua

Chagua Eneo la Uhamasishaji

Hatua

Agiza Orodha

Hatua

Sambaza

Bwana alinipatia msukumo wa kuandika kitabu hiki ili pasipo kuchelewa kipate kusambazwa katika kila sehemu ya ulimwengu, kwa vile maonyo yaliyomo ni ya lazima kwa ajili ya kuwaandaa watu kusimama katika siku ya Bwana.

ebB1706110102934

Ellen G. White, Muswada 24, 1891

Pakua Pambano Kuu na Nyenzo Muhimu

Pambano Kuu

Muhtasari

Je unadhani dunia inaimarika au inaharibika zaidi? Si ajabu, idadi kubwa mno ya watu leo wanaamini kuwa dunia inazidi kuharibika. Huenda hii hali ya kukata tamaa kote ulimwenguni ni matokeo ya utamaduni uliosheheni mno habari mbaya, au bila shaka kwa asili tunajua ukweli wa kuogofya mno uliomo katika kiini cha kitabu hiki: Kuna kitu hakiko sawa kabisa katika sayari yetu na sisi hatuna uwezo wa kukitatua.

Pambano Kuu haliweki bayana chanzo cha uharibifu wa mwanadamu tu, bali pia hufunua mapambano mazito mno yanayosababisha magonjwa tandavu na hatari, uharibifu na mauaji ya halaiki, vifo na ghasia. Katika kitabu hiki cha kustaajabisha utagundua kwamba uovu una mwonekano, wema una shujaa wake, na dhambi ina mwisho. Kama unataka kufanya maandalizi kwa ajili ya mwisho wa dunia hii na kwa ulimwengu wa utukufu unaokuja, inakupasa kusoma kitabu hiki.

Lugha:

Iliyopakuliwa Zaidi

Cover-Image_DE

Lugha: German

Cover-Image_FR

Lugha: French

Cover-Image_PT

Lugha: Portuguese

Cover-Image_ES

Lugha: Spanish

Cover-Image_RU

Lugha: Russian

Cover-Image_CS

Lugha: Czech

Cover-Image_AR

Lugha: Arabic

Cover-Image_NL

Lugha: Dutch

Cover-Image_ZH-Hant

Lugha: Chinese

Unataka kujua zaidi?

  • Privacy Policy
  • Legal Notice
  • Trademark and Logo Usage